Mshereheshaji na mchekeshaji maarufu, Emmanuel Mathias anayejulikana kama MC Pilipili amefariki dunia leo Novemba 16,2025.
Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikvwa...