mchungaji

  1. Kasomi

    Kisa cha Mchungaji Joseph Kibweteere na Mwisho wa Dunia

    Mwaka 1995 aliyewahi kuwa Muumini wa katoliki Joseph Kibweteere wa Uganda Alitangaza Kuwa Mwaka 2000 Ndio Mwisho wa Dunia, Hivyo Kanisa Lake Linauza Vyeti Kama Ndiyo Ticket ya Kuingia Mbinguni. Siku Ilipofika Watu Walijaa Kanisani, Akafunga Milango na Madirisha Kisha Akatia Kiberiti Kanisa Zima...
  2. M

    Mchungaji ajinyonga kisa Msongo wa Mawazo

    HABARI Mchungaji Zakaria Mbyopyo wa kanisa la Bethel power of God ministry International lililopo kata ya makambini Halmshauri ya mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe amekutwa amejinyonga ndani ya ofisi yake huku sababu ikitajwa kuwa ni msongo wa mawazo. Wakizungumza na EATV Mashuhuda...
Back
Top