META YAZINDUA APP MPYA KUSHINDANA NA CHATGPT
Meta Platforms imezindua app mpya ya akili mnemba (AI) inayojitegemea, ikilenga kuchochea ushindani mkubwa dhidi ya ChatGPT ya OpenAI. App hii ya kisasa imeundwa kwa kutumia teknolojia ya Llama AI model, ikileta urahisi na ubunifu wa hali ya juu kwa...