Historia ya Pele
Pelé (jina lake halisi ni Edison Arantes do Nascimento; kuzaliwa 23 Oktoba 1940- 29 Disemba 2022) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Brazili. Anahesabiwa na wengi, kama waandishi wa habari na mashabiki, kuwa mchezaji mzuri zaidi wa wakati wote.
Mahali pakuzaliwa Três...