Mwalimu Yusuph kutoka Mkoani Kigoma Wilayani Kasulu amemuomba Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. @samia_suluhu_hassan amsaidie mguu na usafiri utakaomuwezesha kutembelea shuleni na kuwasaidia watu wengine wenye uhitaji maalumu.
Licha ya ulemavu wake uliotokana na kukatwa mguu wake wa...