Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania zenye cheo cha Luteni.
Polisi Simiyu wamesema leo February 14,2025 saa 6:30 mchana...
Wizara ya Afya imesema imebaini uwepo wa taarifa kwenye mitandao ya kijamii pamoja na vyombo vingine vya habari zikielezea uhaba wa dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARVs) na kwamba sasa Watumiaji wanalazimika kununua dawa hizo ambapo imesema taarifa hizo ni upotoshaji na zimeleta...
Millard Afrael Ayo majina mengine ya utani Muyenjwa Laizer alizaliwa Arusha January 26 1986 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ambaye ni Msukuma wa Shinyanga na mwalimu.
Baada ya mama yake...