Jarida la Forbes la Marekani toleo jipya la 2026 limetaja Mohammed Dewji, Mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania kama tajiri nambari moja kwa nchi za Afrika Mashariki akiwa na utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2.1.
Kwa upande wa bara la Afrika, Dewji mwenye miaka 50 anashikilia nafasi ya...
Klabu ya Simba SC imetoa pongezi kwa Mwekezaji wa klabu hiyo, Mohammed Dewji, kwa kutajwa na Jarida la Forbes kama tajiri namba moja Afrika Mashariki na namba 12 barani Afrika, katika orodha yake ya matajiri wa dunia kwa mwaka 2025.
Jarida la Forbes (2025) limemweka mfanyabiashara maarufu wa...
Jarida la Forbes (2025) limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa watu matajiri duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Tsh 5.7 trillioni. Mo, anakuwa tajiri namba 12 Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa utajiri huo.
2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha...