HABARI Wizara ya Afya imesema kwamba Tanzania imethibitisha kuwa na wagonjwa wawili wa Mpox.
Taarifa hiyo imetolewa leo Machi 10, 2025 na kueleza kuwa Machi 7 Wizara ya Afya kupitia mifumo yake ya ukusanyaji wa taarifa na ufuatiliaji wa magonjwa ilipokea taarifa za uwepo wa wahisiwa wenye...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema kwa kuzingatia kuwa magonjwa mengi yanayosababishwa na virusi hayana tiba mahususi ila mgonjwa anahudumiwa kulingana na dalili alizonazo na kufuatia kuthibitika kwa Wagonjwa wawili wa ugonjwa wa Mpox nchini, Wizara ya Afya inawasihi na kuwasisitiza...