Advertise here

msukuma

  1. Kasomi

    Manongu Mzungu aliyewazunguka Wenzeka na Kuwa Msukuma

    Manongu ni msanii wa muziki wa jadi wa Kitanzania, akiwa na mizizi imara katika tamaduni za Kisukuma. Alifundishwa na marehemu Mzee Edward Mashiku Ntemi kiongozi mashuhuri wa ngoma wa Kikundi cha Wana Cesilia kutoka Makumbusho ya Sukuma na Kituo cha Utamaduni cha Bujora ambapo alijitokeza kama...
  2. Kasomi

    Dodoma: Musukuma ajiuzulu ubalozi mazingira, akiikana ripoti Mto Mara

    Balozi wa Mazingira anayewakilisha Bunge, Joseph Kasheku (Musukuma) leo Jumanne Aprili 5, 2022 amejiuzulu nafasi hiyo akisema ni aibu kuwa mwakilishi wakati aliyemteua ameunda ripoti ya hovyo. Musukuma mbunge wa Geita Vijijini amefikia hatua hiyo muda mfupi baada ya tume iliyoundwa na Waziri wa...
Back
Top