Maswali Na Majibu kuhusu Uchangiaji wa Damu salama kwa wahitaji kama waliopata ajali,Wajawazito, Wenye Changamoto ya Upasuaji, Watoto chini ya Miaka 5
KWA NINI UJITOLEE KUCHANGIA DAMU?
Hadi sasa hakuna utaalamu wa kuzalisha damu nje ya binadamu. Kwa hiyo, wewe ni miongoni mwa wanaopaswa...