Shirika la usafiri wa umma mjini Wiesbaden, magharibi mwa Ujerumani, limeitaka polisi kumshtaki kijana wa miaka 15 aliyedaiwa kuiba basi na kumpeleka mpenzi wake umbali wa kilomita 130 hadi shuleni mjini Karlsruhe.
Mkuu wa kampuni ya mabasi ya NVG, Jörg Martini, aliliambia shirika la habari la...
Mjue Nyegere (Honey badger) Mnyama mwenye wivu kupindukia na Hatari sana.....
Nyegere ni moja kati ya wanyama wenye wivu sana hapa duniani. Chakula chake kikubwa ni asali,yeye hupanda juu ya mzinga wa asali na kuujambia, baada ya mashuzi yake nyuki wote hulewa na yeye kupakua asali na masega...
Jina la kuzaliwa: Moussa Sanguiana Kaba
Mwaka wa kuzaliwa: 1990 Umri: Miaka 31(mwaka huu 2021)
Kuzaliwa: Sanguiana (Guinea)
Raia: Guinea
Kipaji: Mwimbaji, muigizaji, mtu wa mitandao ya kijamii na mwanasiasa
Aina ya muziki: Hip hop Miaka ya kazi: Tangu 2019
suala la kiafya: Kuugua...