Baada ya kusambaa taarifa za kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Ndaki ya Mbeya, Kitivo cha Sheria, Shairose Mabula (21), ambaye aliripotiwa kutoweka na baadaye mwili wake kupatikana jijini Mbeya, Jeshi la Polisi mkoani humo limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo la mauaji...