NAPA ni nini?
➡️Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI pamoja na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi walibuni mfumo unaoitwa NaPA.
Kirefu cha NAPA ni National Physical Addressing System
➡️Kwa Kiswahili huitwa: Mfumo wa Kidigitali...