Advertise here

napoli

  1. Kasomi

    Klabu ya Napoli leo imezindua sanamu la Diego Armandos Maradona

    Klabu ya Napoli leo imezindua sanamu la Diego Armandos Maradona ikiwa ni siku moja kabla ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya nguli huyo wa soka wa Argentina. Uzinduzi huo ulifanyika muda mfupi kabla ya mchezo wa Ligi kuu Italia ambapo vinara hao wa Serie A wameshinda 4-0 dhidi ya Sassuolo.
Back
Top