Historia ya NIDA
1968: Wazo la kuanzisha Vitambulisho vya Taifa
Wazo la kuanzisha Vitambulisho vya Taifa kwa raia wa Tanzania na wageni wanaoishi nchini Tanzania lilizaliwa mwaka 1968 katika kikao cha 'Interstate Intelligence Gathering' kilichojumuisha wajumbe kutoka nchi za Tanzania, Kenya...