UPDATES Mchakato wa kura za maoni katika Jimbo la Kongwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) unatarajiwa kufanyika upya Jumapili Agosti 17, 2025 kufuatia kifo cha aliyeongoza kura za maoni, hayati Job Ndugai.
Akitangaza utaratibu mzima, Katibu wa CCM Wilaya ya Kongwa, Joyce Mkaugala amesema...