TARATIBU ZA KUFUTA AU KUSITISHA UFANYAJI KAZI WA JUMUIYA AU TAASISI YA KIDINI.
Nivema kutambua kwamba Katika muktadha wa Tanzania, utaratibu wa kisheria na kikanuni wa kufuta dhehebu au jumuiya ya kidini unategemea masharti yaliyowekwa chini ya sheria na kanuni husika na siyo hisia au msukumo...