Netflix imethibitisha mpango mkubwa wa kujenga studio ya kisasa kabisa ya filamu katika Fort Monmouth, eneo lililokuwa kambi ya jeshi la Marekani. Kampuni hiyo inatenga $903 milioni kwa awamu ya kwanza kujenga soundstages kubwa 4 juu ya ekari 29, zikilenga kuwa na sehemu ya ndani yenye usalama...