Msichana aliyetambulika kwa jina la Shukran Ajiliwa amekutwa amekufa kwa kukabwa shingo na kuchinjwa kwa kitu chenye ncha kali kisha kutobolewa utumbo.
Kwa mujibu waJJeshi la polisi mkoani Ruvuma ulipotokea mkasa huo limesema linamshikilia Erick Turuka ambaye ni muuza nyama ya nguruwe ambaye...