Leo 27/04/2022 Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema amekutana na Bi. Lilian Secelela Madeje ambae ni Mwasisi na Mkurugenzi Mtendaji wa Niajiri Platform LTD na kutia Saini Mkataba wa Makubaliano (MOU) ya Ushirikiano baina ya CBE na Niajiri.
Bi. Secelela alisema "Niajiri...