Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi au K lynn kwa jina jingine (alizaliwa 6 Desemba 1978) ni mjasiriamali kutokla Tanzania aliyeanzisha kampuni ya Amorette Ltd , inayotengeneza samani bora alizobuni mwenyewe na kushinda tuzo. Jacqueline vilevile ni mwanzilishi na mwenyekiti wa taasisi ya Dr Ntuyabaliwe...