Mtangazaji maarufu Bongo, Oscar Oscar ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Mniombee’ unaofanya vizuri kwa sasa
Katika wimbo huu, Oscar Oscar amemshirikisha Joh Makini, Rapa kutoka kundi la Weusi.
Tazama wimbo Oscar Oscar ft. Joh Makini – Mniombee