Kuanzia Kesho Kila Mwanaume
Ampost Mwanamke/Mpenzi Wake - Makonda
Kutoka kwenye hafla ya michezo ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 8, Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amewataka wanaume kuonyesha hadharani upendo wao kwa wake na wapenzi wao...