Hatua ya mwanzo kama umeweka windows mpya au OS nyingine hakikisha una updates kwanza PC kwenye mtandao imara kama sehemu za WiFi ya umma au ya office ambapo utatumia data nyingi.
Kama tatizo linaendelea fuata hatua hizo
1- Zima Windows Updates.
Nenda Settings > Update & Security > Windows...