Ili kutengeneza Picha kama ya photos kwa kutumia AI na ionekane kama hapa chini
Upload picha Mbili (uki upload zenye ubora na picha zitakuwa nzuri zaidi)
Baada ya kuupload copy Prompt hapa chini kisha paste kwenye AI yako ulipo upload picha zako.
Using the uploaded photo, create a...