WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Wananchi, wataruhusiwa kupiga picha au kurekosi video katika Daraja la JP Magufuli (Kigongo–Busisi) lakini ni lazima kuomba kwanza kibali rasmi kutoka Wizara ya Ujenzi.
Waziri Ulega amezungunza hayo leo Alhamisi, Juni 19, 2025 jijini Mwanza katika hafla...