Advertise here

police

  1. Kasomi

    Maana ya RB Inayotolewa na Polisi

    RB ni kifupi cha "Report Book" (wakati mwingine huitwa Reference Book). Ni namba ya kumbukumbu inayotolewa na *polisi* baada ya mtu kuripoti tukio au tatizo rasmi katika kituo cha polisi. Inavyotumika: - Inatolewa kwa tukio kama vile wizi, ajali, kupotea kwa mtu, kupotea kwa mali (kama...
  2. Kasomi

    Mashahidi wa Tundu Lissu watajwa hawa hapa

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya Uhaini inayoendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam, amewaanika Mashahidi wa upande wake katika kesi hiyo. Akiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Lissu...
  3. Kasomi

    Polepole aeleza polisi wanavyoweza kumpata

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole ameeleza kwamba kama jeshi la polisi nchini linamtafuta waitumie Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kuwa ndiye aliyekuwa muajiri wake wa mwisho au wamtafute kupitia namba yake ya simu. Akizungumza kupitia...
Back
Top