Chelsea yatwaa Ubingwa wa Club World Cup 2025 kwa Kishindo
Klabu ya Chelsea kutoka England imeweka historia kwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Vilabu (FIFA Club World Cup) mwaka 2025 baada ya kuicharaza Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa kwa mabao 3-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa...