Serikali ya Qatar imesema imefunga anga lake kwa muda kama sehemu ya hatua zinazochukuliwa kufuatia matukio yanayoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati.
Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar iliyochapishwa kwenye X imeeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuimarisha usalama wa...
Technology inayotumika World cup ya Qatar haijawahi kutumika kokote Duniani. Je, wajua Mipira ya world cup inachajiwa?
Technology inayotumika World cup ya Qatar haijawahi kutumika kokote Duniani. Mipira ya world cup inachajiwa ! UNAJUA ?
Mipira inayotumiwa kwenye kombe la Dunia Qatar...
Mchezaji wa timu ya taifa ya Ujerumani, Jamal Musiala ndiye mchezaji wa kwanza wa nchi hiyo mwenye umri mdogo zaidi kucheza Kombe la Dunia akiwa na umri wa miaka 19 na siku 270, tangu alipofanya hivyo Karl-Heinz Schnellinger mwaka 1958 ambapo alishiriki michuano ya Kombe la Dunia akiwa na miaka...
Stadium 974 ni uwanja uliopo ufukweni na umepewa jina hilo kutokana na kutengenezwa na makontena 974 na utabomolewa punde tu baada ya michuano hiyo kuisha.
Picha za uwanja huo
E
Shirikisho la mpira Duniani FIFA imetoa Orodha ya timu zilizo Fuzu kombe la dunia 2022
Fainali za kombe la Dunia zitachezwa Qatar.
Pia makundi kutolewa kesho