FAHAMU RANGI ZA KASULA NA MAANA YAKE KATIKA KANISA.
Kasula ni vazi analovaa kuhani (Padri au Askofu) kwa Kiingereza tunaita Chasuble hutofautiana kwa rangi kadri ya majira ya Kanisa.
1.Kasula yenye rangi ya Kijani huonyesha matumaini huvaliwa katika kipindi cha kawaida cha mwaka wa Kanisa...