Advertise here

raila

  1. Kasomi

    Raila na Ruto: Kutoka kuwa Marafiki, Mahasimu hadi Marafiki wa Kuzikana

    Raila na Ruto: Kutoka kuwa Marafiki, Mahasimu hadi Marafiki wa Kuzikana Kwa miaka mingi unapozungumzia siasa za Kenya, huwezi kumuacha nje Waziri Mkuu wa zamani Raila Amolo Odinga aliyeaga dunia nchini India Jumatano Oktoba 15 alipokuwa akipata matibabu. Na asiye mgeni wa siasa utakubaliana...
  2. Kasomi

    Mambo matano makuu kuhusu Raila Odinga

    Mambo matano makuu kuhusu Raila Odinga Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya na kiongozi mkongwe wa upinzani Raila Odinga amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80. Akiwa mmoja wa watu mashuhuri wa kisiasa nchini humo, Odinga aliweka demokrasia ya kisasa ya Kenya katika maisha yake kwa zaidi ya...
  3. Kasomi

    TANZIA Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India akiwa na umri wa miaka 80 baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati akiwa anafanya mazoezi katika matembezi ya asubuhi. Vyombo vya Habari Nchini Kenya na India vimeripoti kuwa Odinga alikuwa Nchini...
Back
Top