results

  1. Kasomi

    Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026 (SFNA Results) Tazama Hapa

    Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026 (SFNA Results) Tazama Hapa Baraza la Mtihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA 2025) Tathmini ya Kitaifa ya Darasa la Nne (SFNA) ni tathmini kamilifu ya kitaifa iliyoundwa kutathmini maendeleo ya ujifunzaji...
  2. Kasomi

    Jinsi ya kupata Matokeo NECTA kwa SMS

    Piga *152*00# Chagua namba 8.ELIMU Chagua namba 2.NECTA Chagua aina ya huduma 1.MATOKEO Chagua aina ya Mtihani 2.ACSEE Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2019 Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=) Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo
Back
Top