BAADA YA KUCHAGUANA BADILISHANENI KUWA VILE MNAVYOTAKA KUWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ushapata Baby Boy/ Girl unayependana naye. Mnaendana na kuendana kwa asilimia kubwa.
Ni KWELI hawezi kuwa amekamilika kwa asilimia Mia Moja lakini angalau amevuka asilimia 50 kama sio 70 ya mambo...