Raila na Ruto: Kutoka kuwa Marafiki, Mahasimu hadi Marafiki wa Kuzikana
Kwa miaka mingi unapozungumzia siasa za Kenya, huwezi kumuacha nje Waziri Mkuu wa zamani Raila Amolo Odinga aliyeaga dunia nchini India Jumatano Oktoba 15 alipokuwa akipata matibabu.
Na asiye mgeni wa siasa utakubaliana...