samantha smith

  1. Kasomi

    Samantha Smith kijana mdogo aliyeleta mabadiliko Duniani

    Samantha Smith alikuwa mwanafunzi msichana Mmarekani kutoka eneo la Maine. Alizaliwa mwaka 1972 na kufariki 1985. Katika mwaka 1982, salimuandikia barua kiongozi wa Muungano wa Usovieti , Yuri Andropov, akimuuliza ni kwanini uhusiano baina ya Marekani na Muungano wa Usovieti ulikiwa wa wasi...
Back
Top