Mwimbaji maarufu Dua Lipa ameripotiwa kuifungulia kesi kampuni ya teknolojia ya Samsung akidai fidia ya angalau dola milioni 15 kwa madai ya kutumia sura na taswira yake kutangaza televisheni bila idhini yake rasmi.
Kwa mujibu wa nyaraka za kesi zilizoripotiwa na vyombo vya habari vya burudani...