Ajali 5 za ndege mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani
1. Pan Am Flight 1736 na KLM Flight 4805 – Vifo 583
Janga hili linakumbukwa kama ajali mbaya zaidi katika historia ya usafiri wa anga, ilitokea Tenerife, visiwa vya Canary mnamo Machi 27, 1977. Ndege mbili za Boeing 747 ziligongana kwenye...