Advertise here

seleman

  1. Kasomi

    TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege amefariki Dunia

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Kilwa Kusini kupitia Chama cha CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege, amefariki Dunia, Machi 30, 2026 akiwa hospitali ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Enzi za uhai wake Bwege amewahi kutumikia...
Back
Top