Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120.
Watu 59,851,347 wapo Tanzanzia bara na 1,889,773 Tanzania zanzibar.
Wanawake wapo 31,687,990 sawa na asilimia 51 ya watu wote na wanaume ni 30,530,130 sawa na asilimia 49 ya watu wote.
Kati ya mwaka 2012 hadi 2022, ongezeko la watu ni 19,812,197 sawa na...