MCHENGERWA ATOA MAELEKEZO NANE MAHSUSI KWA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa maelekezo mahsusi nane kwa viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ikiwamo kufanya tathmini ya kina na kuchukua hatua za haraka kwa watumishi...