Shakira amehusika katika nyimbo za Kombe la Dunia mara nne (4) hadi kufikia mwaka 2026, akirejea kama "Malkia wa Nyimbo za Kombe la Dunia".
Hii hapa historia yake:
2006 (Ujerumani)
Aliimba "Hips Don't Lie / Bamboo" kwenye sherehe za kufunga.
2010 (Afrika Kusini)
Aliimba wimbo rasmi "Waka Waka...