Social Media OSINT
Social media OSINT inalenga zaidi kutafuta taarifa kutoka kwenye mitandao ya kijamii.
Watu wengi iwe kwa kujua au bila kujua hujikuta wameanika taarifa zao kwenye account zao za mitandao ya kijamii.
Mtandao kama Facebook mtu akifungua account unakuwa unamsumbua na maswali...
List of the most popular social media platforms in the world (2025):
1. Facebook – 3.05 billion MAUs (United States)
2. YouTube – 2.49 billion MAUs (United States)
3. WhatsApp – 2.00 billion MAUs (United States)
4. Instagram – 2.00 billion MAUs (United States)
5. TikTok – 1.53 billion...