Jumla ya kiasi cha shilingi Bilioni 1.228 kimetolewa kwa vikundi 100 vinavyojumuisha makundi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kuweza kujikwamua kiuchumi kupitia miradi mbalimbali.
Hafla ya utoaji wa mikopo hiyo imefanyika leo Mei 15, 2025 katika ukumbi wa St. Aloysious mtaa wa...