Utafiti mpya wa Mental State of the World 2024, iliyotolewa na Sapien Labs umebaini vijana wa Kitanzania wana ustahimilivu mkubwa wa kiakili ikilinganishwa na vijana wengine katika nchi 76 zilizofanyiwa utafiti duniani kote.
Kituo cha Utafiti wa Ubongo na Akili cha Sapien Labs, kimeeleza kuwa...