Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Ndege maalum (Boeing 787-8 Dreamliner) kwenda nchini Morocco kuwafuata wachezaji na kuwarudisha nchini Tanzania.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa...
kila la kheri timu yetu ya taifa huko moroko ni ngumu kusema watarudi na kombe ila wataacha alama kwa maoni yangu je kwa upande wako wewe kocha afanye nini ili awashangaze wabongo.