Kampuni ya TikTok inafanya majaribio ya AI chatbot mpya ndani ya app yake, inayoitwa Tako.
Chatbot hii itafanya kazi kwa ndani ya TikTok bila mtumiaji kuondoka kwenye app.
🔹 Tako inakusudiwa kusaidia watumiaji:
kuzungumza na AI moja kwa moja
kupata majibu ya haraka
kupata taarifa au maelezo...