Advertise here

tanganyika

  1. Kasomi

    TANZIA Mwanasiasa mkongwe na miongoni mwa wapigania Uhuru wa Tanganyika, Alhaj Mustafa Mohamed Songambele, amefariki dunia

    Mwanasiasa mkongwe na miongoni mwa wapigania Uhuru wa Tanganyika, Alhaj Mustafa Mohamed Songambele, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam. Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na binti yake Dorah Songambele, ambaye amesema maandalizi ya kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda...
  2. JamiiTalk

    JamiiTalk Inakutakia Siku njema ya Muungano (Happy Union Day)

    Pia Soma Fahamu a-z kuhusu muungano wa tanganyika na zanzibar
  3. Kasomi

    Fahamu kuhusu Ziwa Tanganyika

    ZIWA TANGANYIKA Hili ni miongoni mwa maziwa makubwa na mashuhuri Afrika na Duniani kwa ujumla. Ziwa Tanganyika linapatikana Magharibi mwa Tanzania likipakana na nchi za Burundi, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Zambia. Sifa za Kipekee; Ziwa Tanganyika ni la kwanza kwa urefu Duniani (the...
  4. Kasomi

    Fahamu a-z kuhusu muungano wa tanganyika na zanzibar

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokea tarehe 26 Aprili 1964 ukawa mwanzo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hadi tarehe ile kulikuwa na mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo yaliingia mkataba wa muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa dola la...
Back
Top