Kuna na mvumbuzi kutoka Tanzania anaitwa Gibson kawago aliyebadili betri mbovu za laptop zilizotupwa kuwa nishati endelevu katika Kijiji kimoja kilichopo mkoa wa iringa Nchini Tanzania.
Historia ya Gibson kuwa mvumbuzi ilikua ya kushangaza sana ilianzia kwenye familia yake walikua na changamoto...