tatu

  1. Kasomi

    Ratiba ya Mechi ya Mshindi wa Tatu na Fainali ya Kombe la Dunia 2026

    Ratiba ya Mechi ya Mshindi wa Tatu na Fainali ya Kombe la Dunia 2026 kwa saa za Tanzania (EAT): Mechi ya Mshindi wa Tatu 🇫🇷 France 🆚 🇫🇴 England 📅 Jumapili, 19 Julai 2026 🕛 Saa 12:00 usiku (Tarehe 18 kuamkia tarehe 19 ) 📍 Hard Rock Stadium, Miami, Marekani � Talksport +1 🏆 Fainali 🇪🇸 Spain 🆚 🇦🇷...
  2. Kasomi

    Walio feli Kidato cha Pili wataendelea Kidato cha Tatu bila kurudia

    SABABU KWANINI WANAFUNZI WALIOFAULU NA WALIOFELI WANAENDA KIDATO CHA TATU Kutoka Wizara ya Elimu Tanzania ✍️ "Ninaelekeza kwamba wanafunzi ambao hawakufikia alama za ufaulu za Kidato cha Pili mwaka 2025 waendelee na Kidato cha Tatu mwaka 2026 badala ya kukariri (kurudia) Kidato cha Pili...
  3. Kasomi

    Baba Levo, Kiumbe na Baruani Muhuza wapenya Tatu Bora Jimbo la Kigoma Mjini

    Babalevo apeta Tatu Bora Ubunge Kigoma Mjini ndani ya CCM! Mchakato wa kuwania tiketi ya CCM kugombea Ubunge wa Kigoma Mjini umechukua sura mpya! Awali wagombea walikuwa 9, lakini baada ya mchujo wa awali ngazi ya wilaya, majina ya Kilumbe Shaban, Baruan Muhuza (mtangazaji maarufu) na Dkt...
  4. Kasomi

    Moto wateketeza soko la Mashine Tatu Iringa

    Soko maarufu la Mashine Tatu lililopo katika Manispaa ya Iringa limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo, Julai 12, 2025. Moto huo umeharibu vibanda na maduka mengi katika soko hilo linalouza mali mbichi, huku taarifa zikithibitisha kuwa hakuna mali iliyookolewa. Chanzo cha moto huo bado...
Back
Top