Serikali inaendelea kutekeleza Sera ya malipo ya Mshahara na Motisha katika Utumishi wa Umma ya Mwaka 2010. Katika hatua za kutimiza malengo ya Sera hii, Serikali imefanya marekebisho ya mishahara ya watumishi wake kuanzia tarehe 1 Julai, 2022.
Kufuatia marekebisho hayo, kima cha chini cha...